TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

KIKWETE: JPM AMETEKELEZA ILANI YA CCM KWA KIWANGO CHA JUU SANA

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa Mgeni rasmi Kwenye Kampeni za CCM Kutoka Jimbo la Mbagala Jijini Dar es Salaam. Kwenye Mkutano huo Mkubwa Dkt Kikwete amezungumza mambo mengi yaliyofanyika na yaliyotekelezwa kama yalivyoahidiwa Kwenye Ilani ya CCM na Kueleza mambo makubwa yanayoenda Kufanyika Miaka mitano ijayo. Haya ndiyo aliyoyazungumza. 
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM