“Kuna shule ipo Dar es Salaam, Ubungo (Balango) bado wanafunzi wanakaa chini, madarasa mengine yamebomoka, madawati yamevunjika Mkuu wa wilaya yupo, mkuu wa mkoa yupo, Mkurugenzi yupo na Mbunge wa Ub…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba akizungumza leo na waandishi wa habari mjini Shinyanga (hawapo pichani) Na Damian Masyenene Mtoto mmoja aliyejulikana kwa jina la Juma Dela…
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Boniface Butondo (anayezungumza) akiwashukuru wananchi wa Kata ya Talaga wilayani Kishapu baada ya kuonyesha uzalendo wakuchangia fedha za ujenzi wa vyumb…
Mshambuliaji mpya wa Wekundu wa Msimbazi, Perfect Chikwende kutoka FC Platinum ya Zimbabwe akitambulishwa usiku wa kuamkia leo. Na Damian Masyenene MIAMBA ya soka nchini, Simba SC na watani wao wa ja…
Nembo ya NECTA MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA MAARIFA, UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE KWA MWAKA 2020 YAMETANGAZWA..TAZAMA HAPA
Nembo ya NECTA Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne huku wavulana wakiongoza katika orodha ya wanafunzi 10 bora. Katika orodha ya wanafunzi 10 bora, wavulana wapo…
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde
JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata watu 15 wanaotuhumiwa kuuziana dhahabu kwenye nyumba ya kulala wageni katika mgodi wa dhahabu Lubaga namba mbili uliopo Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi. Kam…
Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga (SPC), Patrick Mabula (aliyesimama) akitoa neno kwa wananchama wa klabu hiyo wakati wa mafunzo ya nafasi ya vyombo vya habari katik…
TU - FOLLOW