Header Ads Widget

TAKUKURU YAKANUSHA TUHUMA ZA KUWABAMBIKIA KESI WANANCHI NA KUTAIFISHA FEDHA ZAO

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo
 
Na Shinyanga Press Club Blog
Leo Septemba 23, 2020 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imejitokeza hadharani na kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo kukanusha tuhuma mabazo zimekuwa zikielekezwa kwenye taasisi hiyo, hususan  za kuwabambikia wananchi kesi za rushwa na utakatishaji wa fedha na baadae kutaifisha fedha za watuhumiwa hao kutoka katika akaunti zao za benki.
 
Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amesema kuwa taarifa hizo ni za uongo na za upotoshaji na zenye nia ovu ya kujenga chuki kwa wananchi dhidi ya Serikali yao.
 
Soma zaidi taarifa hiyo hapa chini











Post a Comment

0 Comments