Header Ads Widget

WANANCHI SHINYANGA 214,383 KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA MAGONJWA YA MLIPUKO


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer (katikati) wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi leo Jumatano Januari 26,2022 katika eneo la Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) Kizumbi Manispaa ya Shinyanga


Na Suzy Butondo, SHINYANGA


WANANCHI zaidi ya 214,383 manispaa ya Shinyanga wameondokana na changamoto ya magonjwa ya mlipuko kikiwamo kipindupindu,kuhara na magonjwa ya tumbo mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa bwawa la kuchakata maji taka, ambayo yatakuwa yanakusanywa na kwenda kumwagwa katika bwawa hilo.

Hayo yamelezwa Jana na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Sophia Mjema wakati akizindua rasmi mradi wa kuchakata tope kinyesi katika kata ya Kizumbi manispaa ya Shinyanga, ambapo alisema mradi huo uliojengwa kwa ufadhili wa serikali ya Uholanzi utaondoa changamoto za magonjwa ya milipuko kwa wananchi na utasaidia kuondoa umasikini kwa vijana na akina mama.


Mjema amesema kabla ya mradi huo kuanza wananchi wengi walikuwa wakisumbuliwa na magonjwa ya tumbo, kuhara mara kwa mara na kipindupindu kwa sababu ya kutupwa vinyesi ovyo, kwani maji taka yalikuwa yanamwagwa sehemu yeyote na kujikuta watu wanatumia kinyesi bila kujua, lakini kwa sasa magonjwa hayo hayatakuwepo tena.


"Mradi huu wa kuchakata maji taka ni mali na ni dhahabu kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Shinyanga, ili tuweze kuendelea katika uchumi wa kati ni vizuri mjiongeze mchangamkie fursa hii, vijana kinamama muweze kupata mafunzo ya kutengeneza umeme,Gesi, mbolea na mkaa ili kuondokana na ukataji miti ovyo"amesema Mjema.


"Nawaomba sana wataalamu wote mliopo hapa mtoe mafunzo kwa wananchi wote wanaohitaji kupata mafunzo haya ili waweze kujiongezea kipato na kuondokana na umasikini, hapa kuna fursa kubwa, acheni mambo ya kujipatia fedha kwa kufanya maovu njoni mjipatie fedha kwenye mradi huu"amesema Mjema.


Kwa upande wake mwenyekiti wa bodi ya Shuwasa Mwanvua Jilumbi alisema kabla ya mradi huo uzoaji maji taka ulikuwa ukifanyika kiholela na kusababisha magonjwa ya milipuko kwa sasa utafika mwisho kwa sababu bwawa hili litasaidia kumwaga maji taka na yatachakatwa kikamilifu.


"Nalishukuru sana Shirika la maendeleo SNV la Uholanzi kwa kutuletea mradi huu wa kuchakata maji taka, hivyo tutaendelea kuutunza na tunajiandaa kwa awamu ya pili ili kuufikia uchumi wa kati, tunawashukuru wananchi kwa kutupatia eneo hili ambalo ni heka mbili"amesema Jilumbi.


Kwa upande wake balozi wa Tanzania kutoka Uholanzi Wiebe Deboer amesema mradi huo umetumia jumla ya Sh 310 milioni ambapo amesema kwa sababu nchi ya Tanzania ni wakarimu wataendelea kuleta miradi mingine ya kimaendeleo.


Naye Meya wa manispaa ya Shinyanga Elias Masumbuko amesema mradi huo umeonekana kuwa na manufaa mengi kwani kutoa kinyesi ni suala zuri sana katika mazingira, hivyo itasaidia kuondokana na magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na kinyesi.

Mradi huo uliozinduliwa leo umefadhiliwa na Shirika la maendeleo SNV kutoka Uholanzi unasimamiwa na halmashauri ya manispaa ikiwa ni pamoja na mamlaka ya maji Safi na mazingira Shinyanga (SHUWASA)

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer (katikati) wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi leo Jumatano Januari 26,2022 katika eneo la Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) Kizumbi Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer (katikati) wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto mwenye kofia) na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer (katikati) wakizindua Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi leo Jumatano Januari 26,2022 katika eneo la Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) Kizumbi Manispaa ya Shinyanga. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola.

Maandishi baada ya kuzindua Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer wakipiga picha ya kumbukumbu baada ya kuzindua Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.


Mchoro ukionesha eneo la Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa SHUWASA Mhandisi Yusuph Katopola akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer jinsi Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi unavyofanya kazi.

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer (katikati) akielezea kuhusu Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer (katikati) akielezea kuhusu Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Mkuu wa Idara ya Usafi wa Mazingira Manispaa ya Shinyanga Snatus Kuchibanda akielezea kuhusu Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Mkuu wa Idara ya Usafi wa Mazingira Manispaa ya Shinyanga Snatus Kuchibanda (katikati) akionesha mbolea inayotokana na tope Kinyesi.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer wakijadili jambo wakati wakitembelea Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Afisa kutoka Shirika la SNV (Country Director SNV- Tanzania) , Duncan Rhind akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Mhe. Elias Masumbuko akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga, John Tesha akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi uliojengwa na Shirika la Maendeleo la Uholanzi (SNV – Netherlands Development Organization) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) kupitia Mradi wa Usafi wa Mazingira (WASH SDG) na kufadhiliwa na Serikali ya Uholanzi.

Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania , Wiebe De Boer akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kulia) wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi

Lori likimwaga majitaka katika Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Muonekano eneo la Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Muonekano eneo la Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Muonekano eneo la Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Muonekano eneo la Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Picha ya kumbukumbu baada ya uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Picha ya kumbukumbu baada ya uzinduzi wa Mtambo wa kuchakata tope Kinyesi.

Picha zote na Kadama Malunde, Malunde1blog.
 

Post a Comment

0 Comments