Header Ads Widget

MTOTO ALIYEFANYA MTIHANI DARASA LA SABA AKIWA GEREZANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA..........


Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga imemhukumu mwanafunzi aliyefanya mtihani wa darasa la saba akiwa gerezani, Kunde Gambija Kilulu (15) kifungo cha nje miezi sita baada ya kumkuta na hatia ya kuua bila kukusudia. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu Novemba 15, 2021 na Jaji Seif Mwishehe Kulita katika mahakama iliyoketi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu.

 
Jaji Kulita amesema ni mara ya kwanza kwa washitakiwa kutenda kosa na wamekiri kosa bila usumbufu wowote hivyo mahakama imeokoa muda pamoja na kuepuka ghalama za uendeshaji wa kesi. 

 SOMA ZAIDI HAPA CHANZO MWANANCHI

 

Post a Comment

0 Comments