TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

TANZIA; WAZIRI WA ULINZI NA JKT - MBUNGE WA USHETU ELIAS KWANDIKWA AFARIKI DUNIA

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga amefariki dunia leo Jumatatu Agosti 2,2021 wakati akiendelea kupata matibabu Jijini Dar es salaam.
 
Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa amethibitisha taarifa hizi akisema "Nimepokea taarifa za msiba huu mzito kutoka uongozi wa CCM wilaya ya Kahama, Mpendwa wetu alikuwa anaendelea na matibabu jijini Dar es salaam".


Taarifa zaidi tutawataarifu.