TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

PICHA: JPM SAFARINI KUELEKEA DODOMA, AZUNGUMZA NA WANANCHI KONDOAYaliyojiri barabarani wakati Mgombea Urais Dkt John Pombe Magufuli akiwa njiani Kutoka Mkoani Manyara kuelekea Dodoma ambapo alipata nafasi ya kusalimia na kuwaomba kura zao zote siku ya Oktoba 28 mamia kwa mamia ya Watanzania waliojipanga barabarani kumlaki. Dkt John Pombe Magufuli alipata nafasi ya kuwasisitiza Watanzania wote kutofanya makosa siku ya kupiga kura kwa Kutoa kura Zote kwa CCM.
#KuraKwaMagufuli2020
#T2020JPM