TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

MAGUFULI AOMBA KURA MANYARA, AELEZA ULIPAJI WA DENI LA TRIL. 1.2 MIFUKO YA JAMII, AMKARIBISHA SUMAYE

NI MAGUFULI DAY: Siku mbili kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli ameendelea kuwafikia Mamilioni kwa Mamilioni ya Watanzania na Kunadi Sera, Ilani ya CCM na kuomba kura kwa Wananchi na Leo ni Zamu ya Manyara ambako amefanya Mkutano Mkubwa uliofana sana pale Babati na haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM