TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

DK. MWINYI AAHIDI KUJENGA UCHUMI UTAKAOZALISHA AJIRA 300,000, FURSA SAWA KWA WOTE


Dkt Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa CCM Zanzibar amepata nafasi ya kufanya Mahojiano maalum na Vyombo vya Habari Leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 ambapo amepata nafasi ya Kutolea ufafanuzi mambo mbalimbali yanayoenda kufanyika baada ya Kupata ridhaa kutoka kwa Wananchi na amejibu maswali yote ya wananchi waliokuwa wakipiga simu na kutuma Ujumbe mfupi kuuliza. Haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Mahojiano hayo Maalum Kutoka Zanzibar. Dkt Mwinyi amejipambanua kwa sera nzuri, anatosha.

#mwinyi2020
#YajayoniNeematupu
#T2020JPM