TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

DK. HUSSEIN MWINYI AENDELEA KUMWAGA SERA ZA CCM AKIOMBA KURA ZANZIBAR

 

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia tiketi ya CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi anaendelea kuisimamisha Zanzibar katika safari ya Kufika kila eneo la Mzanzibar Kunadi Sera za CCM na Leo Jumatatu Oktoba 19 alikuwa Paje Wilaya ya Kusini Mkoani Unguja Kusini. Haya ndiyo aliyoyazungumza Kwenye Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni.

#YajayoniNeematupu #Mwinyi2020.