TUTUMIE HABARI,PICHA,MATUKIO AU TANGAZO LAKO TUKUWEKEE KWENYE SHINYANGA PRESS CLUB BLOG,WASILIANA NASI KWA Email : shinyapress@gmail.com Simu/WhatsApp +255 789 632 732, +255 756 546 015 au +255 686 057 440

TAKUKURU YAOKOA SH MILIONI 30.5 ZA CWT KOROGWE ZILIZOTAFUNWA NA VIONGOZI

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Tanga  imeokoa Sh Milioni 30.5 za Chama cha Walimu cha kuweka na kukopa wilaya ya Korogwe zilizokuwa  zimefanyiwa ubadhirifu na baadhi ya waliokuwa viongozi wa chama hicho.
Soma zaidi taarifa ya Takukuru kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Septemba 18, 2020 na Kaimu Mkuu wa taasisi hiyo mkoa wa Tanga, Dkt. Sharifa Bangala