Header Ads Widget

USIKU WA TUZO ZA VPL: KIKOSI BORA CHA MSIMU, SIMBA YAINGIZA 6


Baadhi ya wachezaji na makocha waliokuwa wanawania tuzo wakiwa ukumbini

ORODHA ya majina 11 ya wachezaji bora wa msimu imetolewa leo Agosti 7, 2020 kwenye usiku wa tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Tanzania Bara, huku Mabingwa wa Ligi hiyo, Wekundu wa Msimbazi Simba wakitoa wachezaji sita kwenye kikosi hicho.

Tazama orodha hiyo hapa chini