Header Ads Widget

CHADEMA YAPITISHA MAJINA MATATU NAFASI YA URAIS


 
 Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA, umepitisha majina matatu ya wanachama waliotia nia ya kuwania urais ambao ni Dk. Mayrose Majinge, Lazaro Nyalandu na Tundu Lissu.

Kati ya majina hayo, baraza leo litapendekeza jina moja litakalopitishwa na mkutano mkuu kesho kwa ajili ya kuwania urais kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.